Mkoa wa Singida una mambo mengi yanayoutambulisha, mathalani mandhari ya mawe makubwa, upepo wa msimu, na kilimo cha alizeti… lakini je, unajua kuna kijiji kinaitwa Nyuki?

Hiki ni kijiji kilichojipatia umaarufu wa kipekee kutokana na juhudi za wananchi wake kuzalisha mazao ya nyuki.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *