Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chigong wamesaini makubaliano ya mkataba wa bunge unaofanya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 153 wa IPU, utakaofanyika Oktoba 2026 Jijini Arusha.
#AzamTVUpdates
✍Tumie Omary
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)