Uongozi wa Singida Black Stars SC kupitia Kamati ya Nidhamu umewachukulia hatua za kinidhamu wachezaji Khalid Aucho na Amas Obasogie kama ifuatavyo:

1. Khalid Aucho: Ameadhibiwa kwa utovu wa nidhamu na utoro kazini hivyo amesimamishwa kazi kwa miezi mitatu.

2. Amas Obasogie: Amesimamishwa kazi kwa miezi mitatu kupisha uchunguzi wa tuhuma za upangaji wa matokeo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *