#VIDEO:” Tutamkumbuka kwa moyo wa ibada, sala hasa kwa Ekaristi Takatifu ambapo alipenda kushinda na Yesu mara nyingi…
Aliishi maisha ya kifukara na hakupenda kabisa kujilimbikizia mali maana kila alichokipata alikitoa kanisani….”-Amesema Askofu Henry Mchamungu ambaye ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Dar es Salaam.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M -Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#CapitalDigital #ITVUpdates
Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania