Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya ndege kuanguka huko Mosop, Kaunti ya Nandi, Jumamosi jioni, Februari 28.

Anayehofiwa kuwa miongoni mwa waliofariki ni mbunge aliye madarakani.

Kamanda wa polisi wa Kaunti ya Nandi Samuel Mukuusi alithibitisha ajali hiyo. Hivi karibuni.

Read ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690.

Chanzo: TUKO.co.ke

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *