Ayatollah Khamenei: Jinsi kiongozi mkuu wa Iran alivyofanikiwa kuidhibiti Iran kwa ‘mkono wa chuma’
Khamenei alikumbatia sera kali dhidi ya shinikizo lililoongezeka la mageuzi kwa kipindi cha takriban miongo minne madarakani. Khamenei amekumbatia sera kali dhidi ya shinikizo linaloongezeka kwa mageuzi katika takriban miongo…