Mamadou Gaye awatuliza mashabiki Nigeria, aitaka FIFA kuamua
MTAALAMU wa soka barani Afrika, Mamadou Gaye, amewaomba wadau wa soka kuendelea kuwa wavumilivu wakati Nigeria ikisubiri uamuzi kutoka FIFA katika kesi dhidi ya DR Congo inayodaiwa kukiuka…