Uganda yakubaliana na Washington kuwapokea wahamiaji kutoka Marekani
Uganda itaanza kuwapokea wahamiaji wasiokuwa na sifa ya kuishi nchini Marekani, hatua ambayo inaendeleza sera ya rais Donald Trump kuwaondoa wahamiaji haramu. Imechapishwa: 21/08/2025 – 16:12Imehaririwa: 21/08/2025 – 16:36 Dakika…
Nigeria yawafukuza raia wa kigeni 102 waliopatikana na makosa ya uhalifu
Serikali nchini Nigeria, imewafukuza nchini humo wageni 102 wakiwemo raia wa China 50, waliopatikana na makosa ya uhalifu wa mtandaoni na udanganyifu. Imechapishwa: 21/08/2025 – 16:04 Dakika 1 Wakati wa…
DRC: Marekani yaomba mkutano wa dharura wa UNSC kushughulikia ukatili unaofanyiwa raia
Marekani imeitisha mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili kushughulikia ukatili unaofanywa dhidi ya raia, wakiwemo waasi wa AFC/M23,…
Sudan: Msafara wa magari ya misaada ya WFP washambuliwa Darfur
Msafara wa magari ya msaada wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umeshambuliwa siku ya Jumatano, Agosti 20, katika eneo la Darfur (magharibi mwa Sudan), msemaji wa shirika la…
Polisi: Rais wa zamani wa Brazil Bolsonaro alikuwa akifikiria kutafuta hifadhi nchini Argentina
Polisi wanasema rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro aliandika barua ya kuomba hifadhi nchini Argentina huku uchunguzi kuhusu mapinduzi ya 2024 ukizidi. Imechapishwa: 21/08/2025 – 06:50 Dakika 2 Wakati…
Maeneo yaliyo chini ya udhibiti wa waasi kurudishwa chini ya himaya ya Serikali ya DRC
Rasimu ya makubaliano ya amani ya Kongo na M23 inalenga kurejesha udhibiti wa serikali katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi. Imechapishwa: 21/08/2025 – 06:32 Dakika 2 Wakati wa kusoma Na: RFI…
Al-Shabaab yaripotiwa kunufaika na mzozo kati ya Somalia na Jubaland
Mapigano ya hivi karibuni nchini Somalia hasa katika eneo linalojitawala la Jubaland, yanatishia musatakabali wa eneo hilo, hali ambayo imesababisha makundi ya kijihadi kama lile la Al-Shaabab kujipenyeza na kuongeza…
Israel yaanza hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza
Israel imeingia katika hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza siku ya Jumatano baada ya kuidhinisha mpango wa kuutwaa ambao ni pamoja na kuwaita askari 60,000 wa akiba kwa…
Kenya yaiomba CAF kuwaruhusu mashabiki kuujaza uwanja wa Kasarani
Serikali ya Kenya imeliandikia rasmi barua shirikisho la soka la Afrika CAF, liruhusu mashabiki wa Kenya kuujaza uwanja wa Kasarani, wakati wa mchezo wa robo fainali dhidi ya Madagascar, unaotarajiwa…
Israel yaidhinisha mradi wa ujenzi wa makazi katika Ukingo wa Magharibi
Israel imeidhinisha mradi mkubwa wa makazi katika eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na walowezi wa Kiyahudi, uamuzi ambao jumuiya ya kimataifa imeonya kuwa unatishia uhai wa taifa…