UN: Makubaliano ya amani ya Kongo na Rwanda ‘hayaheshimiwi’
Umoja wa Mataifa umesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda "hayaheshimiwi."
Kiongozi wa upinzani Cameroon Issa Tchiroma Bakary ajitangaza mshindi wa kiti cha urais
Issa Tchiroma Bakary kiongozi wa upinzani nchini Cameroon ametangaza kwa upande mmoja kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa juzi Jumapili akimbwaga mshindani wake mkuu Rais Paul Biya ambaye amekuwa…
KUTOKA GYMKHANA: Msikie mchambuzi @ramadhan_mbwaduke akiizungumzia Yanga kitakwimu namna ilivyopasua anga kimataifa
KUTOKA GYMKHANA: Msikie mchambuzi @ramadhan_mbwaduke akiizungumzia Yanga kitakwimu namna ilivyopasua anga kimataifa. Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said. Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja…
KUTOKA GYMKHANA: Mchambuzi wa soka @ramadhan_mbwaduke ‘anazitafuna’ takwimu usizozijua kuhusu Yanga SC katika misimu minne ambay…
KUTOKA GYMKHANA: Mchambuzi wa soka @ramadhan_mbwaduke ‘anazitafuna’ takwimu usizozijua kuhusu Yanga SC katika misimu minne ambayo timu hiyo imetawala kwenye soka la Tanzania. Kwenye NBC Premier League Mbwaduke anasema Yanga,…
KUTOKA GYMKHANA: Rais wa Yanga SC, Hersi Said amesimulia namna alivyoingia ndani ya timu hiyo akikumbushia hafla #KubwaKuliko il…
KUTOKA GYMKHANA: Rais wa Yanga SC, Hersi Said amesimulia namna alivyoingia ndani ya timu hiyo akikumbushia hafla #KubwaKuliko iliyofanyika mwaka 2020. Hersi ameanzia kwenye ngazi ya ushabiki akisema kuwa Yanga…
Mkufu wa Nile ni nini? Na kwanini Sisi anampa Trump
Katika hatua iliyozua mjadala ndani na nje ya Misri, Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amemtunuku Rais wa Marekani, Donald Trump, Nishani ya Nile (Order of the Nile), ambayo ni…
Misaada yapungua Sudan Kusini huku waliopoteza makazi wakikabiliana na majanga
Wamejikuta katikati ya mzozo na athari za tabianchi, jamii za waliopoteza makazi yao Sudan Kusini zinajikuta zikikabiliana na vurugu, mafuriko na kukosa misaada ya kutosha
KUTOKA GYMKHANA: “Tumeshuhudia akipiga hatua kuelekea juu”
KUTOKA GYMKHANA: “Tumeshuhudia akipiga hatua kuelekea juu” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema Rais wa timu hiyo Hersi Said amekuwa na mwendelezo mzuri tangu achukue madaraka…
Hersi: Umri ulisababisha nisiaminike Yanga
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema wakati anaanza kuiongoza klabu hiyo, wengi hawakumuamini kutokana na umri wake mdogo.
NGODA AMPONGEZA ARAJIGA: “FIFA kumwamini Ahmed Arajiga imetengeneza kitu kikubwa katika kazi yake ya uamuzi”
NGODA AMPONGEZA ARAJIGA: “FIFA kumwamini Ahmed Arajiga imetengeneza kitu kikubwa katika kazi yake ya uamuzi” Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan ampongeza mwamuzi Mtanzania, Ahmed Arajiga ambaye jana Oktoba 13, 2025 alichezesha…