
Akiwahutubia waandishi wa habari, Merz amesema milango ya mazungumzo na Urusi iko wazi lakini bila kuwepo kwa mazungumzo sambamba.
”Ikiwa tunaweza kuchangia kufanya mazungumzo haya kuwa bora zaidi, hata kufanikiwa zaidi, basi tutafanya hivyo, lakini hatutafungua njia zozote za mawasiliano hapa.”
Merzameendelea kusema kuwa wana lengo moja na ni kwamba wanataka kuona vita dhidi ya Ukraine vikimalizika haraka iwezekanavyo.