ZILIZOBAMBA: Mtaalamu wa #Vitasa @aidanmlimila leo amekuja na mapambano ambayo yalimalizika kwa KO ambayo ilisababishwa na ngumi moja tu.
Moja ya mapambano hayo ni lile la Karim Mandonga dhidi ya Magambo Christopher ambapo ngumi moja tu ilimaliza pambano.
#Viwanjani #Zilizobamba