29 Septemba 2025

Simulizi ya Chekeni Salumu ni mfano wa kuigwa wa ujasiri na matumaini. Licha ya kuzaliwa bila mikono, hakukata tamaa. Akiwa bado msichana mdogo, alijifunza kuandika kwa kutumia miguu na sasa anasoma shahada ya sheria katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro – jambo linaloonyesha kuwa ulemavu sio kikwazo cha mafanikio.

https://p.dw.com/p/51EPN

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *