Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema mataifa ya kusini mwa dunia yanapaswa kuishinikiza Urusi kuelekea amani katika vita vyake na Ukraine, akisisitiza yanapaswa kusaidia kumleta Putin katika meza ya mazungumzo. Post navigation Japan na Korea Kusini wakubaliana kuimarisha mahusiano yao 24 wauwawa Gaza-njaa yahofiwa kutanua janga la kibinaadamu