Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam iko mbioni kukamilisha jengo la ghorofa tano la shule ya kisasa ya Olympio ambalo linatarajiwa kuongeza udahili wa wanafunzi wa shule ya awali sambamba na maboresho ya ujifunzaji kutokana na miundombinu iliyowekwa.

Ujenzi huo umefikia asilimia 94 huku viongozi wa idara ya elimu msingi ukitoa pongezi kwa serikali na shukrani kwa Rais Samia kutokana na maboresho hayo makubwa.

Imeandaliwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *