Jamii nyingi duniani zinakabiliwa na tatizo la ukatili na hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kupunguza matukio hayo.
Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa ameeleza aina za ukatili ambazo watu hufanyiwa au huwafanyia wengine, jambo ambalo baadaye huathiri ustawi na ufanisi wa kazi kwa wahanga.
#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi