Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto ameiasa jamii mkoani Rukwa kushirikiana na viongozi wa dini katika kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili.

Mabadiliko ya sayansi na teknolojia yachochea vipi mmomonyoko wa maadili katika jamii unayoishi? nini kifanyike? Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *