Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani uamuzi wa Australia wa kumfukuza balozi wa Tehran nchini humo kutokana na madai eti ya mashambulizi kwenye vituo vya Kiyahudi, na kueleza kuwa ni kitendo cha kutaka kuiridhisha “serikali inayoongozwa na wahalifu wa kivita.”
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
