Duru mpya ya mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 inaendelea katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Pande hizo mbili zinatazamia kufikia makubaliano juu ya namna ya kutekeleza mapatano waliyosaini mwezi uliopita kwa upatanishi wa Qatar.
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
