#HABARI:Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewataka madereva na makondakta wa magari ya abiria kuheshimu sheria za usalama barabar…#HABARI:Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewataka madereva na makondakta wa magari ya abiria kuheshimu sheria za usalama barabar…

#HABARI:Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewataka madereva na makondakta wa magari ya abiria kuheshimu sheria za usalama barabarani, kwa kutoingilia misafara ya viongozi wakiwemo wagombea, kuheshimu ving’ora vya magari ya usalama na ya kubebea wagonjwa, hususani katika kipindi hiki cha kampeni ili kutosababisha ajali zisizokuwa za lazima.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow ITV Tanzania RadioOneStereo
CapitalRadioTanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *