#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo, kimemlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jimbo la Itilima, lililopo mkoani Simiyu, Bw. Polycarp Ntapanya, kushindwa kupokea fomu ya mgombea Ubunge wa Jimbo hilo, kupitia tiketi ya chama hicho, Bw. Jackson Scania Luyombya kwa madai ya kufika nje ya muda uliopangwa na tume hiyo huku mhusika akidai kufika saa tisa na dakika thelathini alasiri.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania