Mkutano wa SCO China: Beijing, Kutafuta Washirika Wapya wa Biashara, yawapokea Putin na ModiMkutano wa SCO China: Beijing, Kutafuta Washirika Wapya wa Biashara, yawapokea Putin na Modi

Mkutano wa 25 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utafanyika katika mji wa Tianjin nchini China, siku ya Jumapili, Agosti 31 na Jumatatu, Septemba 1. Hii ni fursa nzuri kwa viongozi wa nchi za Asia ya Kati kukutana na Xi Jinping na Vladimir Putin. Hasa tangu Trump alipoanzisha vita vyake vya kibiashara, kiongozi huyo wa China amekuwa akitafuta wateja wapya na wasambazaji bidhaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *