Katika mtanange wa nusu fainali za CHAN, Sudan itavaana na Madagascar jijini Dar es Salaam huku Morocco ikimenyana na mabingwa watetezi Senegal mjini Kampala. Mechi hizo zitachezwa Jumanne ya Agosti 26.

Mashabiki wa Afrika Mashariki wamehuzunishwa na kitendo cha mataifa yao wenyeji wa michuano hiyo ya  CHAN  ambayo ni Tanzania, Kenya na Uganda kushindwa kusonga mbele.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *