Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina Wizara ya Fedha, Jenifa Omolo amewataka wahitimu wa mitihani ya kitaaluma ya ununuzi na PSPTB kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya utumishi wa umma.

Akizungumza katika mahafali ya 14 ya PSPTB, Jenifa Omolo ameongeza kuwa wahitimu hao ni chachu ya kuelekea mafanikio ya uchumi kwa taifa kwani wanabeba dhima ya maendeleo ya sekta hiyo ambayo inazidi kutoa mchango mkubwa kwa taifa.

Mwandishi Rebeca Mbembela

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *