Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha NRA, Almas Hassan Kisabya ameahidi kuweka mfumo imara wa ukusanyaji maduhuli ya serikali akiahidi uthabiti katika mapato, ili mfumo huo usaidie katika maendeleo ya jamii na kuwa kichocheo cha uchumi.

Taarifa zaidi na Enos Masanja.
Mhariri @abuuyusuftz

#AzamTVUpdates #HabariWikiendi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *