NBC Premier League Jumapili hii.
Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha matajiri wa jiji, AzamFC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Mechi ya mwisho timu hizi zilipokutana zilitoka sare ya 2 -2.
Je, Jumapili hii ni Simba SC ama Azam FC nani kuondoka na alama tatu?
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports #Mzizimaderby #SimbaSC #AzamFC