Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Wakala wa Mabasi Yaendeyo Haraka (DART), William Gatambi amesema kwa kipindi hiki cha matazamio njia ya Mbagala, mabasi yaliyopo yanatosha na huduma za mwendokasi zinaendelea vizuri.
Katika hatua nyingine, ameeleza kwamba miongoni mwa changamoto wanazokutana nazo ni pamoja na suala la wananchi kuendelea kutumia daladala licha ya uwepo wa mabasi ya kutosha ya mwendokasi.
#UTV108 #MorningTrumpet #AzamTVUpdates
✍Nifa Omary
Mhariri | @abuuyusuftz