Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema huduma za usafiri kesho zitapatikana kama kawaida, na kwamba kilichotokea ni baadhi ya kampuni za mabasi kupunguza idadi ya mabasi kutokana na mwitiko mdogo wa ukataji tiketi.

Wakati LATRA ikitoa kauli hiyo, Shirika la Kutetea Abiria limezitaka kampuni hizo kuzingatia kanuni na sheria za LATRA ili kuhakikisha abiria wanapata huduma bila kero.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *