#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Kariakoo , Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini Unguja.

Amesema zoezi la upigaji wa kura limekwenda vizuri na kwa usalama na amani na kuwaomba wananchi kuendelea kutunza amani ya nchi.

✍ Mtumwa Saidi
#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *