#HABARI: Vyombo vya Usalama Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Urambo, vimeanza oparesheni ya kuwasaka popote walipo watu wasiojulikana waliomuua mlinzi wa soko la Ussoke, lililopo wilayani Urambo, Bw. Nasoro Mgalula, kisha kumchoma choma na kitu chenye ncha kali kwenye macho yake na kuiba vocha, simu na fedha katika baadhi ya maduka ya soko hilo ambapo watu hao wametakiwa kujisalimisha haraka iwezekanavyo kabla mkono mrefu wa serikali haujawafikia.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania