🚨 Mapinduzi ya Kijeshi yamefanyika nchini Benin mchana huu ambapo Rais Patrice Talon amepinduliwa na Kundi la Wanajeshi wakidai wazi kuwa ni Kibaraka wa Wafaransa, ikumbukwe Benin ishawahi kuwa na Mapinduzi sita ya kijeshi yaliyofanikiwa na mawili yaliyofeli.
Mpaka sasa Afrika Magharibi kuna nchi nne zinazoendeshwa Kijeshi nazo ni Burkina Fasso, Mali, Niger na Guinea ambapo sasa Benin inakuwa ya tano.
Ijapo baadhi ya taarifa zikidai jaribio limefeli.