Tanzania ndio key master wa siasa za maziwa makuu kwa miaka 40 sasa, ila kinachoonekana sasa nafasi hiyo imechukuliwa na Kenya.
Kwa sasa eneo la Afrika Mashariki, Marekani kaamua kuipa nafasi ya “Geopolitical Credibility” Kenya kuwa ndio mshirika wao mkuu wa kimkakati katika military, economic na diplomacy kiasi cha kuifanya Kenya kuwa Guarantor mkuu wa kusimamia mchakato mzima wa amani ya Kongo.
Isitoshe Donald Trump kamualika Ruto mwaka 2028 kuwa mgeni kwenye Mashindano ya dunia ya Olimpiki yatakayo fanyika Las Angelas.
Huku Burundi wanaalikwa Kuwa kama mshirika wa usalama upande wa DRC, Kwa mantiki hii kwasasa Marekani inaichukulia Kenya kama “anchor state” ya eneo hili kuliko nchi zote za maziwa makuu.
✍️ Cc @mbwana_ali_mohamed