“Ni kweli vijana wana mambo mengi ambayo wanapenda kuyawasilisha ili yafanyiwe kazi. Zipo hoja zao nyingi za ajira, hali ya maisha kupata kipato.

“Tumejipanga kuwasikiliza zaidi vijana na mmeona Waziri wetu wa Vijana, Joel Nanauka anazunguka nchi nzima akizungumza na vijana. Na mh. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba katika ziara zake anawasikiliza vijana na viongozi wengine.

“Pamoja na kuunda wizara ya Vijana lakini pia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kutoka Bil. 200 ambazo zinakwenda kuwasaidia vijana”-@gersonmsigwa, Msemaji wa Serikali.

#Clouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *