KWAHERI EVERMORE | Leo kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #AzamTWO, tutaiaga tamthilia pendwa ya #Evermore, ambayo imemaliza mwendo jana.
Kutana na wasanii walionakilisha sauti za wahusika wakuu, akiwemo @beka_mtanzania kama Farouk, @shanna_authentic kama Sureyyah.
Miongoni mwa wengine pia ni mwimbaji aliyehusika kwenye nyimbo kadhaa za Evermore, #Yustina
Ungana naye @dannybandezu_official na @halima_shebuge kuanzia muda huo wakitumia nafasi hiyo pia kuikaribisha tamthilia mpya ya #ThePrice
#AzamTVBurudaniKwaWote