#PichaYangSeries Kutana na MBOTE: Kigogo wa Shirika la Kijasusi la AIA lililomuajiri Mussa kwenye kasri la Mzee Maega.
Ukiachana na kuwa muajiriwa wa serikali, Mbote ana mkataba pembeni na Bisura wa kuzisaka hazina ambayo imefichwa na Maega, wakati ambao ana visa na vita mbalimbali dhidi ya maadui zake tangu wakiwa Afrika Kusini.
Mwelekeo wake utakuwaje? Atasimamia weledi wa kazi yake; au ataamua kuungana na Bisura kwenye uhalifu dhidi ya Maega
Tukutane kila Jumatatu hadi Alhamisi kwenye #PichaYangu ya #SinemaZetu saa 1:30 usiku.
#HakikaNiZaKwetu