“Baadhi ya watu wananiambia wao ni maskini nataka kuwapa elimu ya fedha itawasaidia kitu gani? Nawafundisha elimu ya fedha wakati hawajala chakula na wana changamoto mbalimbali, wataitumiaje elimu hiyo fedha na hawana hizo fedha Hiyo ni changamoto kwamba watu hawaamini kama wana fedha lakini ukikaa na hiyo mtu taratibu anakuja kugundua faida yake”- Rehema Kyando, Mkufunzi wa Mambo ya Fedha. (@Rehema_and_Finance)
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana