“Sisi hatuna umaskini wa vyanzo vya maji. Ndio maana nikasema hivi tulivyonavyo tuvitunze, tuvihifadhi na tuwe na mpango wa kuanzisha vyanzo vingine.
“Ukijenga bwawa utakuwa umejenga chanzo kingine. Tunao mto Ruvu lakini tukijenga bwawa tutakuwa tumetengeneza chanzo kingine na haya maji utayabadili na kuwa ya kawaida.
“Ndio maana tumejenga bwawa la Lita Bil. 190 kama chanzo mbadala kwa ajili ya kuwapatia wananchi maji safi na salama”- Juma Aweso, Waziri wa Maji.
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana