Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema ofisi hiyo inaandaa mfumo wa kiteknolojia utakaowawezesha vijana kuwasilisha changamoto zao moja kwa moja na kupatiwa ufumbuzi kwa wakati.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi