VIWANJANI: “Yeye anabeba picha ile ya soka la Tanzania”
Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ anasema uzoefu alionao nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, utawasaidia wachezaji vijana kuweza kufanya vile inatakiwa katika michuano ya #AFCON2025.

Samatta tayari ameripoti kwenye kambi ya Taifa Stars iliyopo Cairo Misri.

Mtangazaji @hassanahmedy_ amekumbushia tukio la Samatta kumpelekea mpira Erasto Nyoni ili apige penati.

Michuano hiyo itaanza Desemba 21, 2025 na mechi zote 52 zitakuwa LIVE kwenye kisimbuzi cha #AzamTV

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *