VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @akingamkono anasema miongoni mwa mbinu ambazo Kocha Miguel Gamondi ataingianazo kwenye fainali za #AFCON2025 ni pamoja na kuhakikisha timu yake hairuhusu kufungwa magoli mengi ili kupata fursa ya kusonga mbele.
Michuano hiyo itaanza Desemba 21, 2025 na mechi zote 52 zitakuwa LIVE kwenye kisimbuzi cha #AzamTV
#Viwanjani