Wakati wavuvi wa dagaa katika mwalo wa Mswahili jijini Mwanza akilitazama zoezi la kuvua kwa msimu wa gioza kama mwiba mchungu unaowaacha na maumivu ya kipato duni, serikali imesema ipo mbioni kuzipitia upya kanuni za uvuvi ili kuona iwapo kuna uhitaji wa kuziboresha.

Innocent Aloyce amefuatilia hilo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *