Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi na Uwekezaji ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hamis Suleiman Mwalimu amewaagiza watumishi wa umma kuendelea kuzingatia miongozo ya kazi sambamba na kuongeza ubunifu katika utekelezaji wa majukumu ya umma ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Rai hiyo imetolewa wakati wa utoaji wa Tuzo za Ubunifu wa Sekta ya Umma 2025.
Imeandaliwa na Esterbella Malisa.