Serikali kupitia Wizara ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wananchi wa vijiji 12 vya wilaya ya Iramba, mkoani Singida katika utekelezaji wa mpango wa urasimishaji ardhi unaolenga kuzuia migogoro ya mipaka inayodumu kwa muda mrefu .
Tazama taarifa ya mwandishi wetu Deus Liganga.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi