Katika jitihada za kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Kissa Kasongwa, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, amewezesha ugawaji wa mbolea bure kwa vijana 160 wanaojishughulisha na kilimo wilayani humo. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha vijana hao kufanya kilimo cha viazi mviringo na hivyo kujikwamua kiuchumi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *