Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, amesema kuwa huu ni wakati wa vijana wasomi kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050, hususan katika kuimarisha maendeleo, ujenzi wa taifa na kuhakikisha upatikanaji wa fursa sawa za umiliki wa ardhi.

#AzamTVUpdates
✍ Nachiyombo Kapanda
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *