Hatima ya mabilioni ya euro za Urusi zilizozuiwa barani Ulaya sasa iko mezani wakati viongozi wa Umoja wa Ulaya EU wakikutana mjini Brussels katika mkutano unaoweza kubadili mwelekeo wa vita vya Ukraine kama tunavyoelezwa kwenye taarifa hii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *