Unamkumbuka panya Magawa aliyeweka historia ya kutegua zaidi ya mabomu 100 nchini Cambodia

Kwa taarifa yako, ujuzi na umahiri wake umetokana na mafunzo aliyopewa na Mtanzania Pendo Msegu.

Mtaalamu huyo wa mafunzo ya wanyama licha ya kujivunia ushindi huo Magawa pia anatueleza mengi kuhusu kazi yake.

Theresia Mwanga amemtembelea Pendo na kuandaa na kufanya nae mazungumzo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *