Waandamanaji wanashinikiza wauaji wa mwanaharakati huyo aliefia katika hospitali ya Singapore jana Alhamisi, kukamatwa.

Hadi alifariki wakati akitibiwa baada ya kupigwa risasi kichwani mnamo Desemba 12 na mtu aliyekuwa kwenye pikipiki na aliyevalia barakoa.

Alikuwa mmoja ya watu mashuhuri zaidi wakati wa uasi wa 2024 uliokomesha utawala wa kidikteta waWaziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina, aliyekimbilia India.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *