Vijana 171 wa wilaya za Ilemela na Nyamagana mkoani Mwanza wamehitimu mafunzo ya mradi wa Vijana Elimu Malezi na Ajira (VEMA) unaofadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Plan International kwa kupata mafunzo ya ufundi stadi kwenye fani mbalimbali zikiwemo umeme wa magari, ufundi bomba na cherehani.
Aidha, mafunzo hayo pia yamehusisha vijana wanaotokea katika mazingira magumu.
Innocenct Aloyce ana taarifa zaidi
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates