Muda wa usaili wa msimu wa Safari Field Challenge umeongezwa hadi Desemba 25, badala ya Desemba 19 ili kutoa nafasi kwa washiriki wengi zaidi kujiandikisha na kushiriki kikamilifu.
Msikilize Msimamizi Mradi kutoka Tanzania Tour Guides Foundation, Saleh Seif akieleza zaidi.
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi