Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Munde akikabidhi tuzo maalumu kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Soter Salema katika Mkutano wa 16 wa Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) leo Desemba 19, 2025 Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC). Tuzo hiyo imetolewa kwa TSN kutokana na kudhamini wa mkutano huo. (Picha na Veronica Mheta, Arusha).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *